SEMINA YA KAMATA FURSA TWENZETU YAFANYIKA MKOANI SHINYANGA Sep232013
Mbuge wa Jimbo la Shinyanga mjini na Naibu Wa Nishati na Madini,Mh Steven Masele akizungumza na sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Mh Steven amewataka vijana wa Shinyanga kuwa na moyo wa kujituma na kuzifanyia kazi ipasavyo fursa wanazokumbana nazo bila kukata tamaa,ameeleza kuwa hivu karibuni mkoa huo,unatarajia kufungua viwanda kadhaa,ambapo anaamini kuanzia fursa ya kupata ajira kwa vijana itaongezeka.
wa Shinyanga Vijana Center. Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Maxmalipo,Bernard Munubi akizungumza kwenye semina ya Kamata Fursa Twendzetu kwa vijana,kuhusiana na masuala mbalimbali yanayofanywa na kampuni yake katika kusaidia huduma za jamii,ndani ya ukumbi
sehemu
ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya
Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga
Vijana Center.
Mkurugezi wa Vipindi na
Uzalishaji Kutoka Clouds Media Groug,Ruge Mutahaba akizungumza sehemu ya wakazi
wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa
vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Ruge pia
amefunga semina hiyo ya fursa kwa vijana mapema loe mchana,ambayo imekuwa
ikiandaliwa na kampuni ya Clouds Media,Semina hiyo imefanyika ndani ya
mikoa takribani zadi ya kumi ikiwemo
Kigoma,Singida,Tabora,Mtwara,Morogoro,Dodoma,Mbeya,Iringa,Bukoba na sasa
ndani ya mkoa wa Shinyanga.
sehemu
ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya
Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga
Vijana Center.
Wengine tena ndio hivyo teena,fursaaa fursaaaaa.
Sehemu ya meza kuu ikifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa ukumbini humo.
Wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini.
Mtangazaji
wa Clouds FM,Shaffih Dauda akitoa mada ya fursa ndani ya michezo na
changamoto zake,lakini pia namna ya kukabiliana nazo kiasi hata kupata
mafanikio kwa namna moja ama nyingine,
No comments: