SEMINA YA FURSA UBUNGO PLAZA YAFANA KAMATA FURSA TWENZETU
Madam Rita Mkurugenzi wa Bench Mark Production na EBSS akizungumza kwene semina ya Fursa katika ukumbi wa Ubungo Plaza Alhamisi 21 November 2013 - KAMATA FURSA TWENZETU |
Msemaji katika semina ya Fursa Ndugu Ahmed Lussasi, katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es salaam Alhamisi 21 November 2013.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Yahaya Nawanda.
Nikki Wa Pili msanii wa muziki wa kizazi kipya (Hip Hop).
Gerald Hando |
Gerald Hando na Mbwiga Mbwiguke. |
No comments: