Breaking News

HITIMISHO LA SEMINA YA KAMATA FURSA ,TWENZETU

Leo ilikuwa ni hitimisho la semina ya Fursa,twenzetu iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alizungumza na Wadau mbali mbali walioshiriki kwenye Warsha ya Kamata Fursa Twenzetu.Mh. Rais ameupongeza uongozi wa Kampuni ya Clouds Media Group kwa ubunifu wao wa Kampeni ya Fusra inayowakutanisha na kuwahamasisha vijana mbali mbali nchini kujituma na kufanya kazi ili kutokomeza swala zima la ukosefu wa ajira



 



How about this Article

No comments:

Leave a Reply