You are browsing with label:
Showing posts with label UBUNIFU. Show all posts
news,
UBUNIFU,
USHAURI,
WAJASILIAMALI
Andiko la Mradi ni maelezo yanayoelezea mradi husika
kwa kujibu maswali ya vihatarishi vya mradi, fursa zilizopo, rasilimali
na jinsi vitakavyotumika, mpangilio mzima wa kuutekeleza mradi ikiwa ni
pamoja na uongozi na usimamizi, mpango endelevu wa mradi kwa hapo
baadaye kwa upande wa kitaasisi na kifedha
Mradi huo unaitwaje?, Utakuwa maeneo gani?, Unafanyika kwa muda gani?, bajeti yake ni kiasi gani?, Wafadhili wa mradi ni akina nani?, Namba ya mradi kama ipo na kipindi cha kuanza na kumalizika kwa mradi.
Maswali mengine ni kama ifuatavyo; Historia ya tatizo lililo sababisha mradi kuwepo ni ipi?, Mradi huu umetokana na serikali, mtu mmoja au jamii na ulianzaje au wazo lilianza nkwa nani?
Kwanini tuwe na mradi huu katika jamii hii kipindi hiki?, Je, mradi ni suluhisho halisi na sahihi la tatizo hilo?, Je unadhani kama hautatekelezwa kwa sasa mradi huu utaleta madhara yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuufadhili mradi huu?
Unaweza kusema kwa ufupi mradi huu hasa unashughuli zipi na unatekelezwaje katika jamii hii.
Utasimamiwa na nani au watu wangapi na kwa nafasi zipi kwa njia gani hasa ili kuwafikia jamii?, Je mradi huu utahusisha watu wangapi kiutendaji na pia utawalenga watu kiasi gani na wanawake wangapi na waume wangapi?
Malengo au Lengo kuu la mradi ninini? Madhumuni yake mengine ni yapi? Shughuli za mradi na majukumu madogomadogo ninini? Ambayo lazima yapangwe kimantiki na kwa matarajio yenye kufikia lengo.
Ni wadau wangapi na watashiriki vipi katika kufanikisha mradi huu, mchango wa wadau hao unamasharti yoyote yanayoweza kuathiri mradi huu ?
Kuna uhusiano wowote kati ya mradi huu na maswala ya kijinsia? Swala la mazingira linaingia wapi katika mradi huu? Swala la Ukimwi na magonjwa yasiyotibika yanasehemu gani katika matokeo na utekelezaji wa mradi huu?
Umepanga kuitekeleza vipi tathimini na ufuatiliaji wa shughuli za mradi huu? Uendelevu wake na bajeti vimegusa maeneo yote ya mradi huu kwa namna gani?
Swali linguine ni kama kuna mradi kama huu uliowahi kutekelezwa hapo au jirani na hapo katika kipindi kifupi kilichopita.
news,
SEMINA,
UBUNIFU,
USHAURI,
WAJASILIAMALI
Je unahitaji huduma ya Mafunzo ya Ujasiriamali?
Namna ya kuanzisha biashara mpya (hatua 26).
Namna ya kuendeleza na kuboresha biashara inayoendelea.
Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
Namna ya kutafuta mtaji.
Namna ya kutambua, kuhatamia na kutumia vyema fursa mbalimbali zilizokuzunguka
Namna ya kuthibiti vikwazo katika biashara yako.
Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
Namna ya kuandika mpango/mchanganuo wa biashara kwa njia rahisi
news,
SEMINA,
UBUNIFU,
USHAURI
Madam Rita Mkurugenzi wa Bench Mark Production na EBSS akizungumza kwene semina ya Fursa katika ukumbi wa Ubungo Plaza Alhamisi 21 November 2013 - KAMATA FURSA TWENZETU |
Msemaji katika semina ya Fursa Ndugu Ahmed Lussasi, katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es salaam Alhamisi 21 November 2013.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Yahaya Nawanda.
Nikki Wa Pili msanii wa muziki wa kizazi kipya (Hip Hop).
Gerald Hando |
Gerald Hando na Mbwiga Mbwiguke. |
Wahudhuriaji wa Semina ya Fursa katika ukumbi wa Ubungo Plaza siku ya Alhamisi 21 November 2013 - Kamata Fursa kisha Twenzetu!!…
news,
SEMINA,
UBUNIFU,
USHAURI
![]() |
Steve Jobs |
Steve Jobs (24 Februari 1955 – 5 Oktoba 2011) alikuwa mvumbuzi wa Marekani na mfanyabiashara aliyetambuliwa sana kama mwanzilishi mwenye kipaji cha haiba ya zama za kompyuta ya kibinafsi. Alikuwa mwanzilishi, mwenyekiti, na afisa mtendaji mkuu wa Apple Inc. Awali alikuwa mtendaji mkuu wa kampuni ya filamu ya Pixar; Mnamo mwaka wa 2006, Jobs mwanachama wa bodi ya wakurugenzi wa Kampuni ya Walt Disney katika 2006, kutokana na ununuzi wa Pixar na Disney. Katika miaka ya 1970, Jobs <--! Emdash -->-pamoja na Apple mwanzilishi Steve Wozniak, Mike Markkula na wengine-Waliungana kubuni, kuunda ,na kuuza Kompyuta ya kibinafsi iliyokuwa na mafanikio, Apple II mfululizo. Katika miaka ya 1980, Jobs alikuwa kati ya kwanza kuona uwezekano wa biashara ya 'mouse' , ambayo ilisababisha kuundwa kwa Lisa na Apple,na Macintosh mwaka mmoja baadaye. Baada ya kupoteza kugombea madaraka na bodi ya wakurugenzi katika 1985, Jobs alitoka Kampuni ya Apple na kuanzisha Kapuni ya NEXT,Kampuni ya kompyuta inayohusika kimaalumu katika masoko ya elimu ya juu na biashara.
Katika miaka ya 1980, Jobs alikuwa kati ya watu wa kwanza kuona uwezekano wa biashara uliotokana na interface ya Xerox Parc inayoendeshwa na kipanya cha graphical mtumiaji, ambayo ilisababisha kuundwa kwa Lisa Apple (iliyohandisiwa na Ken Rothmuller na John Couch) na, mwaka mmoja baadaye, mfanyakazi Apple Macintosh Jef Raskin akajiunga nao. Baada ya kupoteza ugombezi wa madaraka na bodi ya wakurugenzi katika 1985, Jobs alijiondoa kutoka Apple na akaanzisha NeXT, jukwaa la maendeleo ya kompyuta ya kampuni maalumu katika masoko ya elimu ya juu na biashara.
news,
SEMINA,
UBUNIFU,
WAJASILIAMALI
Wakikabiliwa na eneo dogo la kulima kutokana na kukua kwa idadi ya watu na hali za hewa zisizotabirika, wakulima wengi wa Kenya wamegeukia teknolojia ya kilimo cha mahema kama njia ya kuongeza uzalishaji na kunyanyua kipato chao.
Kampuni ya Hortipro Limited ilionesha mashamba ya kutumia mahema yenye gharama ndogo katika viwanja vya maonesho wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mjini Nairobi mwezi wa Oktoba. [Na Andy Kagwa/Sabahi]
Kukua kwa umaarufu wa kilimo wa mahema kulioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya kila mwaka mjini Nairobi mwezi wa Oktoba ambapo waoneshaji wa kilimo cha kutumia mahema walisema kuwa waliona kuinuka kwa hamu ya umma katika kilimo hicho.
"Wakenya wengi wameanza kufuata kilimo cha kutumia mahema kwa sababu kinahitaji mtaji mdogo ili kuanzisha na wakulima wanaweza kuzalisha zaidi katika shamba dogo," alisema Moses Khaemba wa Kampuni ya Hortipro Limited, iliyoko Nairobi ambayo inatengeneza mahema ya kilimo kwa gharama ndogo.
Pamoja na kuwa inakuwa ya gharama ndogo na rahisi kuyaweka, mahema ya kilimo pia gharama ndogo ya ushughulikiaji, yantumia maji kwa ufanisi na yanaweza kuhamishwa baina ya vitalu, alisema, na kuongeza kuwa wakulima wanaweza kuona faida yake kuanzia mavuno ya kwanza.
"Kilimo cha kutumia mahema ya plastiki kina faida nyingi," Khaemba aliiambia Sabahi. "Faida hizi ni pamoja na uzalishaji wa juu zaidi na wa kuendelea kwa kila ekari moja, jambo lenye maana ya kupata faida kubwa zaidi, kujikinga na masuala ya hali ya hewa kama vile ukungu na upepo, kutokuwepo na hatari ya wadudu waharibifu, kupata mwanga asilia na upitishaji wa hewa, miongo mirefu ya upandaji na matumizi madogo ya maji, hasa katika maeneo yenye ukame."
Ukubwa wa mahema ya kilimo unategemea na uwezo wa mkulima wa kuyashughulikia na ukubwa wa shamba, alisema. Wastani wa kila hema moja ni upana wa mita 8 na urefu wa mita 30 na hugharimu shilingi 150,000 (dola 1,800). Kampuni imepokea zaidi ya maombi 1,000 ya mahitaji kutoka kwa wakulima mwaka huu -- ongezeko la asilimia 25 ikilinganishwa na 2011 -- vivyo hivyo na ongezeko la mahema mengi katika shamba hilo hilo, Khaemba alisema.
Mahema ya kulimia yanaweza kuwa ama katika muundo wa jadi kama nyumba au muundo wa upenyo - marefu yakiwa yamefunikwa kwa plastiki juu ya mazao. Wakulima wasema kwa kutumia mahema yenye umbo la upenyo, wanaweza kuzalisha zaidi kuliko katika ardhi ya wazi.
"Mimi ninayo mahema mawili katika shamba langu la ekari tatu huko Karen Estate mjini Nairobi ambako nimepanda nyanya," Margaret Wanjiku, mweny umri wa miaka 54, aliiambia Sabahi.
Wanjiku, ambaye alistaafu miaka mitano iliyopita kutoka shirika moja la kimataifa la msaada, alisema kuwa mmea wa nyanya unaweza kuzalisha kilo 16 hadi 20 za nyanya.
Ingawa bei hubadilikabadilika kutokana na upatikanaji wa bidhaa na mahitaji, alisema kuwa kila mita mraba moja ya nyanya humuingizia kiasi cha shilingi 3,000 (dola 35). "Ninauza nyanya zangu kwenye duka kubwa iliopo karibu na nyingine kwa majirani zangu," alisema.
Amos Karanja ametenga sehemu ya shamba lake la robo ekari huko Kitengela, Jimbo la Kajiado, kwa ajili ya kulima nyanya ndani ya mahema. "Ingawa ninayo kazi ya mchana, ninajaribu aina hii ya kilimo kama njia ya kupata mapato ya ziada ili kuisadia familia yangu," aliiambia Sabahi.
Dan Wanjohi kutoka kampuni Daner Greenhouse Limited huko Ongata Rongai, eneo la makazi ya watu katika Mkoa wa Bonde la Ufa, alisema kuwa kimwonekano aina yoyote ya mboga inaweza kulimwa katika mahema ya kilimo, ikiwa ni pamoja na matango, vitunguu na kabichi.
"Wakulima wengi nchini Kenya wanapendelea kulima nyanya kwa sababu ni mmea unaotoa mazao mengi na mtu hupata faida ndani ya miezi mitatu baada ya kuotesha," aliiambia Sabahi.
Alisema kuwa kampuni yake inatumia chuma cha pua katika ujenzi wa hema la ukubwa wa mita 8 kwa 30 na huuzwa kwa shilingi 200,000 (dola 2,300) kwa moja. Gharama ni pamoja na kulaza bomba kwa ajili ya umwagiliaji maji kwa matone.
Hata hivyo, wakulima ambao hawawezi kumudu gharama za majengo ya chuma cha pua, bado wanaweza kutumia mahema ya vipenyo kwa kutumia mbao kwa gharama ya chini zaidi. "Nililipa shilingi 70,000 (dola 818) kwa kujenga hema langu," Karanja aliiambia Sabahi.
news,
SEMINA,
UBUNIFU,
USHAURI
In the recent years many bloggers have been going out of their themes, instead they keep posting pornographic pictures or pons videos on their pages, especially on the Facebook. Facebook is the best interface and user-friendly ever happen before, which makes many people, companies and institutions to join the Facebook.

For any reasons you have decided to own a blog or website, at last you need to get money in return and not otherwise.
DISADVANTAGES OF POSTING PORNOGRAPHIC PICTURES OR PONS VIDEO ON YOUR BLOG OR WEBSITE?
1. You are identifying yourself as unprofessional, and eventually many people will hesitate to do any kind of business with you. Many professional needs to find some elements of professionalism on your blog or website before they can take a step to do business with you.
2. They automatically harm many individuals and families because through your pons pictures or pons video:
• You are automatically increasing the number of rape and prostitution cases in a society.
• You are increasing the number of children sexual abuse in the society.
• You are potentially destroying the entire civilization of the society.
• Pons ruins culture and relationships, increases sexual dysfunction, and changes what men expect from women.
• Pornography also violates Public Morality since universally the people of the various countries have legislated against it as an evil.
• Pornography is harm to Marriage, it destruct healthy love and sexual relationships to long-term bonded partners.
• Pons has been regarded as sinful and thus harmful to the soul and our eternal salvation as believed with many religions.
• Pons increase the degradation, domination, subordination or humiliation of women in the society.
• Pons when falls into the hands of children is very harmful to the children themselves and to notions of family control over a child's introduction to sexuality. As a blogger you are teaching children that sex is public, they should engage themselves in sexual activities and you are completely sexual ly abusing of children.
WHAT IS YOUR RESPONSIBILITY AS A BLOG OR WEBSITE OWNER ON THIS MATTER?
Don’t post any pornographic pictures or pornographic video on your pages. Keep focused on your theme. The good examples of professional blog or website are like:
Michuzi blog: http:// issamichuzi.blogspot.com/
Manyanda Haealthy: http:// manyandahealthy.blogspot.com/
Amka Tanzania: http://networkedblogs.com/ Nvx6s
Zoom Tanzania website: http://www.zoomtanzania.com/
And many other websites or blogs of this kind, you will never see any kind of unprofessional post on their pages.
news,
SEMINA,
UBUNIFU,
USHAURI
Nyanya
- Lycopersicon esculenfum Mill. - Perennial herb mnavu wa familia
(Solanaceae) na harufu kali maalum. Kulima kama kila mwaka. Inatokana
erect au kusujudu.
Kawaida, kupanda urefu hayazidi cm 70, lakini katika greenhouses ya shina wanaweza kunyoosha hadi 3 m. majani ni mbadala, kuvunjwa-pinnate, hadi 35 cm makundi ya nzima au pinnately kugawanywa, katika moja karatasi ya maumbo tofauti na wao ni ukubwa. Mashina, matawi na calyx kufunikwa na nywele glandula. Maua katika florets ndogo.
Wana tano sheeted kijani calyx, 5-lepestny rangi ya kijani-njano corolla na mduara wa cm 2, 5 stamens na anthers kubwa, koni a style pistil. Matunda - berry katika istilahi za mimea, maumbo tofauti, ukubwa na rangi, na mbegu nyingi ndogo. Kutawala katika darasa wetu na matunda spherical, kidogo flattened au sura plum, kipenyo 10 cm, nyekundu, nyekundu, pink, mara chache au lemon rangi ya njano.
Mbegu hudumisha uwezo kwa muda wa miaka 8. Nyanya bado kupatikana katika pori kitropiki Amerika ya Kusini. Baada ya ugunduzi wa Amerika na Ulaya na kulikuwa na kuchukuliwa mbegu za mimea mingi ya ajabu kwa Wazungu. Miongoni mwao alikuwa nyanya, kuvutia ya matunda mazuri ya vivuli tofauti ya rangi ya machungwa na nyekundu.
Tangu mwanzo wa karne ya XVI. Ni kupanda katika Hispania, Italia, na kisha wengine wa Ulaya Magharibi kama kupanda awali mapambo. Hivi karibuni ilibainika kuwa nyanya ina uponyaji mali. Katikati ya karne ya XVI nchini Italia, baadhi ya watu kuanza kula matunda ya nyanya zilizoiva.
Onjeni kama nyanya, kidogo kwa mara ya kwanza, hivyo ushiriki wao katika mlo wa watu katika nchi zote, ulifanyika kuwa kushangaza polepole. Tu katika karne iliyopita, nyanya ikawa kweli chakula utamaduni, na maua ya kilimo wake ulipatikana katikati ya karne ya XX. Kwa sasa, nyanya ni mzima karibu kila mahali katika mikoa ya kaskazini tu katika greenhouses. Hii ni moja ya mboga maarufu zaidi. Wakati wa kilimo cha mtu imeweza mabadiliko ya kimsingi kabisa kupanda nyanya.
Katika nyanya pori aliishi kama kudumu. Watu kulima kama mimea ya kila mwaka. Kweli, wakati wake kuongezeka, yaani wakati na kupanda kwa kukomaa matunda, kwa muda mrefu sana, hivyo hata katika kusini ya mbegu kupandwa katika greenhouses, na miche hupandwa katika shamba kwa hali ya hewa ya joto mashambulizi ya kutosha.
Mashabiki wa nyanya ni mzima si tu katika bustani, na katika greenhouses, lakini hata kwenye balconies, na baadhi ya windowsill katika maeneo ya tambarare. Tunapata aina zaidi ya 700, tofauti maisha expectancies, sura, ukubwa na rangi ya matunda, kemikali yao utungaji na ladha. Nyanya matunda ni chakula safi, hasa katika salads vitafunio na nyingine, kama vile grilled, kuchemsha, stuffed, pickled, salted. Katika cookbooks ni rahisi kupata kadhaa ya mapishi kwa sahani kitamu, ambayo ni sehemu ya nyanya.
Hii ni kila aina ya supu (hasa nyanya supu), aina kuu ya kuu sahani, sahani upande, marinades. Katika idadi kubwa ya njia mbalimbali za kuhifadhi matumizi ya majira ya baridi (salted, pickled, nk). Katika matumizi ya hii si tu zimeiva, lakini bichi, ndizi. Ya matunda yaliyokomaa kufanya nyanya puree na nyanya - kitoweo favorite wa Warusi na vyakula vingi, pamoja na aina ya michuzi, ikiwa ni pamoja na ketchup kawaida sasa.
Maarufu sana nyanya juisi, vitamini. Ni muhimu hasa katika majira ya baridi, wakati chache matunda na mboga. Katika matunda 4.5-8% ya jambo kavu, ikiwa ni pamoja na 1.5-7% sukari, hasa kuwakilishwa na monosaccharides (glucose na fructose), protini 1.6% ghafi, wanga, selulosi, pectin.
Pia yana 55 mg ya Ascorbic acid (vitamini C), 0.8-1.2 mg-carotene (provitamin A), 0.3-1.6 mg ya thiamine (vitamini B), 1,5 - 6 mg riboflauini (vitamini B2), pantotheni, nikotini, folic acid, citric na malic asidi, madini ya chumvi na vitamini K. Katika Zama za Kati kupatikana baadhi ya mali ya uponyaji wa nyanya. Kwa mfano, tope chujio (kuweka) kutokana na matunda yake mashed superimposed juu ya majeraha usaha, inakuza uponyaji wa mafanikio yao.
Hii siyo siri za, lakini hali inaweza kuwa alielezea kwa upande wa ujuzi wa kisasa. Ni zinageuka kuwa matunda ya mmea huu huwa na chembechembe ambazo kuzuia ukuaji wa microorganisms madhara. Sasa kwa kuwa tuna antibiotics nguvu, watu wachache nyanya huponya majeraha, lakini katika Zama za Kati, dawa ya mimea hii ni yenye thamani ya kutosha. Hata hivyo, katika dawa za jadi bado ni mush kutoka matunda yaliyokomaa na juisi ya nyanya ni kutumika kama jeraha kupona na wakala antiulcer.
Sasa, matunda ya juisi ya nyanya na hasa wao kufurahia sifa bora maana yake ni kwamba kuzuia beriberi. Katika dawa za kisasa, nyanya ilipendekeza kama vifaa vya matibabu na malazi kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya metabolic, na acidity kupunguza tumbo, magonjwa ya ini, Cardio-Vascular mfumo na hasa katika hali ambapo kuna ukiukwaji wa fedha wa potassium.
Ili kupata dozi ya kila siku ya vitamini C, chuma, na chumvi potassium, matumizi ya kutosha kila siku 150-200 g safi nyanya au vikombe 2 vya maji ya nyanya. Juisi ya nyanya ni safi - moja ya juisi muhimu sana kuwa na majibu ya alkali. Nyanya yana asilimia kubwa ya asidi citric na malic, pamoja na asilimia fulani ya asidi oxalic.
Asidi hizi zote ni muhimu na ya lazima kwa kimetaboliki ya mwili. Katika baadhi ya matukio, mawe ya figo na kibofu cha mkojo mkojo ni matokeo ya moja kwa moja ya kula nyanya kupikwa na makopo. Miaka kadhaa iliyopita, madaktari sana ilipendekeza kwa watu wakubwa, na mateso kutoka gout na magonjwa mengine ya pamoja kuacha kula nyanya, kwa sababu ya kiwango cha juu cha asidi oxalic.
Utafiti umeonyesha kwamba oxalic vyenye asidi katika nyanya chini zaidi katika viazi, beets, mchicha, sembuse chika. Na sasa wote Inashauriwa kutumia nyanya na juisi ya nyanya iwezekanavyo. Kuchelewesha maendeleo ya fungi pathogenic microscopic kwa binadamu kuchukua 2 mara 3 kila siku kabla ya juisi ya nyanya milo 200ml alifanya kutoka nyanya zilizoiva, pamoja na kijiko cha asali. Glaucoma kunywa wakati wa siku kabla ya unga juu ya glasi ya juisi ya nyanya na kijiko kimoja cha asali.
Nyanya juisi kutumika katika baadhi lotions na creams. Beauticians kulazimisha mask ya matunda mashed nyanya katika ngozi uvivu na overly porous. Nyanya vyenye nguvu ya Sun, Mars na mwezi.
Kukusanya awamu ya pili ya mwezi katika siku ya 13 au 14 mwandamo, katika machweo. Kulingana na vifaa www.1000listnik.ru

Kwa sasa ni jina maarufu sana hapa Tanzania, mtu yeyote aliyefanikiwa katika biashara hupewa jina hili. Maana ya ujasirimali inabaki katika uwezo wa kufanya maamuzi sahihi wa kutumia rasilimali chache zinazokuzunguka vizuri ili uweze kupata faida.
Mathalani rasilimali zinazokuzunguka ni ardhi, watu na maji, ni vipi mchanganyiko huu utautumia vizuri ili uweze kupata zao (output) ambayo itakusaidia kujikwamua katika hali uliyonayo. Ama ni vipi utatumia mtaji mdogo ulionao kufanya biashara itakayokuletea faida ambayo utaitumia kuongeza mtaji na kuikuza biashara yako.
Fahamu kwamba lengo lolote la mjasiriamali ni kupata faida na kumridhisha mteja ambaye anatumia bidhaa ama huduma inayotolewa na mjasiriamali. Bidhaa ama huduma ndio msingi wa mjasirimali yeyote ambaye anataka kupata faida. Mathalani mkulima wa mahindi bidhaa yake ni mahindi hivyo atauza mahindi kujipatia faida, na mtabibu wa mifugo anatoa huduma ya matibabu kwa mifugo na kulipwa ujira kwa kutoa huduma hiyo.
news,
SEMINA,
UBUNIFU,
WAJASILIAMALI

Mkurugenzi
wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mwalimu wa Ujasiriamali nchini,
Eric James Shigongo akiwasalimia wakazi wa Mwanza leo.
Eric Shigongo akimkaribisha mkufunzi wa masuala ya ujasiriamali, James Mwang'amba aongee na wakazi wa Mwanza leo.
James Mwang'amba akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wananchi wa Mwanza.
Masanja Mkandamizaji akiwavunja mbavu wakazi wa Mwanza kwa historia ya kusisimua ya maisha yake.
Wananchi wakifurahia somo kutoka kwa Masanja.
Masanja akifanya yake mbele ya wakazi wa Mwanza leo.
Masanja akifanya yake mbele ya wakazi wa Mwanza leo.
Wananchi wakijipatia vitabu vya Mtunzi Eric Shigongo.
Umati wa watu uliohudhuria Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Wasanii chipukizi wa kizazi kipya wakitoa burudani katika tamasha hilo.
Watu wakizidi kumiminika ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya tamasha hilo.
Wakazi wa jiji la Mwanza wamezidi kujipatia
elimu ya ujasiriamali, vitabu na CD za Eric Shigongo na James
Mwang'amba katika Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo
jijini Mwanza. Tamasha hilo lilianza juzi (Ijumaa) ambapo walimu wa
ujasiriamali Shigongo na Mwang'amba wametoa mbinu kwa watu wa Mwanza
jinsi ya kuwa wajasiariamali mahiri.
-
KENYAN CREATIVITY ENIGMA. To what do we credit creativity? Creativity is generally out of intelligence and it’s only out of high int...
-
Je unahitaji huduma ya Sehemu Muhimu ya Mpango wa Biashara? Ukurasa huu utaelezea sehemu muhimu za mpango wa biashara kwa wafanyabiashara...
-
Je unahitaji huduma ya Mafunzo ya Ujasiriamali? Namna ya kuanzisha biashara mpya (hatua 26). Namna ya kuendeleza na kuboresha biashar...
-
Unaweza kulima kabichi msimu wote wa mwaka. Soko lake ni la uhakika katika kipindi chote na ni muhimu kwa afya. Pia, linaweza kutumika ka...
-
MWANAMUZIKI wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura (Lady Jay Dee) pichani, mapema leo amezindua maji yenye jina lake katika hafla ili...
-
Andiko la Mradi ni maelezo yanayoelezea mradi husika kwa kujibu maswali ya vihatarishi vya mradi, fursa zilizopo, rasilimali na jinsi vi...
-
Kuna usemi flani unatumiwa na watu wengi sana. unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” . Hata mimi nakubaliana na usemi h...
-
Nyanya - Lycopersicon esculenfum Mill. - Perennial herb mnavu wa familia (Solanaceae) na harufu kali maalum. Kulima kama kila ...
-
Wakikabiliwa na eneo dogo la kulima kutokana na kukua kwa idadi ya watu na hali za hewa zisizotabirika, wakulima wengi wa Kenya wamegeukia ...
Popular Posts
- news
- SEMINA
- UBUNIFU
- USHAURI
- WAJASILIAMALI