MAFUNZO YA BIASHARA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO
Tuesday, December 17, 2013 | Posted by Unknown
Je unahitaji huduma ya Mafunzo ya Masoko Kwa Wafanyabiashara Wadogo ?
Majadiliano: Mwezeshaji na wawezeshwaji
a. Wanauza wapi, nini, lini?
b. Mafanikio
c. Changamoto
d. Maoni
Dhana ya masoko
Leads (Umma unaowategemea na wanatazamia kununua bidhaa yako au huduma, idadi, uwezo, aina yao, mambo wanayoyapenda)
Wateja walengwa
Kuuza(selling)
Kuongeza dhamani ya mauzo
Huduma nzuri kwa wateja ili warudi
Taarifa za wateja (customer’s database)
Jina, simu, barua pepe, tovuti, shughuli yake
Hatua za kufuata katika kutekeleza utafutaji wa masoko
Kuinisha wateja wako
Kuanisha mahitaji yao
Kuainisha uwezo wao wa kiuchumi
Kujua idadi ya walengwa
Kujua wanapatikanaje/wanafikiwaje
Kuainisha uwezo wako wa kuhudumia soko
Jifunge mkanda
Kalenda-Mpango wa kufanya masoko
Tarehe – Shughuli, Kusudi – Mahitaji – Bajeti Mhusika-
Njia kuu za kuwafikia walengwa
Radio
TV
Magazeti
Mikutano/kongamano/warsha/semina
Tovuti (website)
Gari la matangazo
Mabango
Vipeperushi/vitabu/majarida/Makala/Kadi nk
Kutembelea ofisini/nyumbani
Utekelezaji
Weka ratiba ya kufanya kimkakati
i. Mfano: utaanza wapi na utaishia wapi?
ii. Utaanza na njia gani?
How about this Article
No comments: